Nyumba ya vincent kigosi biography
Vincent Kigosi (maarufu kama Ray; amezaliwa 16 Mei ) ni mwigizaji, mwongozaji na mtayarishaji mkubwa wa filamu kutoka nchini Tanzania. [2]. Makao makuu yake ni Dar-es-Salaam. [3] Kigosi vilevile anajiita Mr. Nollywood, [4] japokuwa ametengeneza filamu nyingi za Bongo Films.